Advertisements

Wednesday, June 6, 2012

BEAUTICIAN, DESIGNER, LINDA EXPRESS AVAA GWANDA

Linda Express (Mrs Mali Buzuidenhout) Jumatano June 6, 2012 mchana alifika Hyattsville, nyumbani kwa Katibu wa CHADEMA, Liberatus Mwang'ombe kuchukua kadi ya uanachama wa chama hicho ambacho kimefungua tawi DMV siku ya Jumapili May 27, 2012 kwenye ukumbi wa Mirage. Anayemkabidhi kadi ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Kaley Pandukizi na kushoto ni Didi Vava.
Katibu wa CHADEMA, Liberatus Mwang;ombe (shoto) pamoja na Mwenyekiti wa chama hicho tawi la DMV, Kaley Pandukizi wakipata picha ya pamoja na Mwanachama mpya, Linda Expressl
Kutoka kushoto ni Helena Nyerere, Linda Express na Julia Nyerere wakipata picha ya kumbukumbu
Ilikua ni furaha iliyoje kupata mwanacchama mpya, pichani wafurukutwa wa CHADEMA wakipata picha ya pamoja.
 Linda Express akicheka kwa furaha baada ya kupokea kadi ya uanachama CHADEMA
 Wafurukutwa wa CHADEMA wakishuhudia Linda Express akikamata kadi
 Ombi (shoto) akipata picha ya pamoja na Selina
 Linda Express akionyesha kadi "MOJA YANGU NA NYINGINE MUME WANGU" ndio maneno aliyosikika akisema.

1 comment:

Anonymous said...

Safi sana watu wa U S A kwa kujiunga chademaaaaaaaaaaaaaaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee