Advertisements

Friday, December 9, 2016

MSIBA DMV NA TANZANIA

Familia ya Mnkande: Michael  pamoja na dada yake  Grace Mnkande, wanasikitika kutangaza msiba wa mpendwa mama yao Rose Mnkande, uliotokea hospitali ya rufaa Bombo mjini Tanga tarehe 9 Disemba 2016.
Ndugu wanapenda kuwajulisha kuwa msiba utakuwa nyumbani kwa baba yao mkubwa Mr. Vincent Hiza
Anuani: 8030 Patuxent, Landing loop, Laurel MD 20724.

"Bwana ametoa na bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidiwe."

Kwa maelekezo na maelezo zaidi wasiliana na:
Jacqueline Mnkande 
301 755 3400
Leon Kalunga 240 264 7075
Florah Mnkande 240 217 6335

No comments: