Advertisements

Friday, January 20, 2017

NAOMBENI KURA ZENU

Huyu ni msanii wa kizazi kipya, Mr.Tz aka SanTz, ambaye anaishi Marekani na anashindana katika tamasha la Mr&Mrs ASA wa Maryland litakalofanyika Jumamosi, Januari 28, 2017.
Tafadhali niunge mkono & #TeamJumbe πŸΎπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Mr.Tz anatumia shindano hili kama jukwaa la kutangaza nchi yake ya Tanzania na kufundisha watu kuhusu utamaduni, mila na muziki wetu. Kama anavyosena Mr.Tz "ni wajibu wangu kuwakilisha nchi yangu, mizizi yangu. Siwezi kufanikisha hili bila msaada wako. Nafanya bidii katika muziki wangu na kila ninachofanya si kwa ajili yangu au wazazi wangu au familia yangu tu bali ni kwa ajili ya watu wangu na nyinyi ndo watu wangu, motisha wangu. Bila wewe bila uungaji mkono wako siwezi kwenda mbele. Sisi ni watu wamoja na ni budi tuungane mkono & tuwe pamoja kwa hali na mali. Shindano hili ni fursa kuonyesha watu kutoka nchi zote za Afrika na kwingineko Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ni wapi, tuonyeshe uwepo wetu juu ya jukwaa na watazamaji. Nategemea uungaji mkono wako."
Vote for #TeamJumbe πŸΎπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
http://www.marylandasa.com/voting


#301To255 ️ #OneAfrica #ASARoyalty

Tafadhali niunge mkono.

#TeamJumbe πŸ€˜πŸΎπŸ”₯ is sponsored by Asya Idarous Khamsin 

No comments: