Advertisements

Wednesday, May 24, 2017

TASWIRA YA BABY SHOWER YA NEEMA KANSAS CITY JITIRIRISHE HAPA CHINI


 Hapa Neema  akiwa kwenye meza kuu na mpambe wake  Mina, siku ya baby shower yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Ramada hotel huko Kansas City siku ya tarehe 20/2017


Wifi wa Neema Tumain Gerwin akitoa shukrani mbele ya wageni waalikwa ukumbini hapo, Tumain ndiyo alifanikisha shughuri ya baby shower hiyo.

 Zawadi  zikiwa zimepangwa ukumbini hapo

Tumain akipata ukodak na wifi yake


Wageni kutoka Minnesota wakiwa kwenye meza, Kwa picha zaidi jitiririshe hapa chini.

 Dj Dennis kutoka Minnesota 



Dj Rich kutoka Massachusetts 



No comments: