Advertisements

Tuesday, November 21, 2017

BALOZI WA JAPAN AKUTANA NA WAZIRI MWAKYEMBE KUJADILI MICHEZO

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaharu YOSHIDA (kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kusaidia michezo mbalimbali ukiwemo mchezo wa Baseball.
Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaharu YOSHIDA (kushoto) akifafanua jambo wakati wa maongezi na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) leo Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kusaidia michezo mbalimbali ukiwemo mchezo wa Baseball.
Picha na Genofeva Matemu - WHUSM

No comments: