Advertisements

Monday, November 20, 2017

Wakili na Mkurugenzi TIB wapandishwa Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.

Washitakiwa ambao ni wakili maarufu wa kujitegemea Dkt. Ringo Tenga na Mkurugenzi mtendaji wa zamani wa benki ya rasilimali TIB Dkt. Peter Noni wamepandishwa Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka sita likiwemo la utakatishaji wa fedha na kusababisha hasara ya dola milioni tatu na laki saba. 

Upande wa mashtaka ukiwakilishwa na wakili kutoka mamlaka ya Mawasiliano TCRA umedai washtakiwa wameingilia Mawasiliano na kusababisha hasara hiyo kupita simu za kimataifa kwa vipindi tofauti.

2 comments:

Anonymous said...

This is very interesting, everyday kuna washitakiwa Kisutu wamekula hela. How does Kisutu Court cope with that? Can someone tell me on why Mahakama ya wahujumu does not deal with such cases, what do they do. It seems everybody is sent to Kisutu.

Peter Noni? Pole sana my friend, ukipona hili nenda uchinje ng'mbe 2 usukumani

Anonymous said...

Peter Noni? I am shocked